Kusema ukweli idadi halisi ya waliojiandikisha kupiga kura inajulikana maeneo mengi

Kusema ukweli idadi halisi ya waliojiandikisha kupiga kura inajulikana maeneo mengi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha.

Kuna mambo tuwe tunaongea ukweli mara moja moja. Ingawa nampa tena mitano Samia. Au mikumi tena.

Hali ya hewa ikoje Dar? Sisi huku kuna baridi sana. Nikirudi nami nadhani nifungue Kampuni nipige pesa kama Rostam Aziz Key.
 
Back
Top Bottom