Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.
Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.
Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".
Sasa Chadema wanakosa political maturity.
Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.
Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.
Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.
Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.
We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.
Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.
Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?
Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
After thought.
Nadhani hapa mimi nimetaka kuleta drama.
I think error has crept into my writing kwa ajili ya drama in my personal life.
Chadema wana haki ya kudai reforms. Maboksi yaliyojaa kura feki,kwa nini mambo kama hayo yasiwe questioned?