Inawezekana ni umbumbumbu wa kutoelewa hoja, au ni uchumia tumbo tu. Kinachopingwa sio kupelekwa maendeleo sehemu fulani, bali ni taratibu na vipaumbele kuzingatia mipango ya serikali. Wakati mwingine muwe mnajitahidi ili posho isipunguzwe!Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.
Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.
Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.
Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.
Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa. Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zike ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.
Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Ndio ujue kuwa na wao wamesoma sasa
Mkuu kupeleka maendeleo popote sio kosa,ni sawa kabisa.Kinachogomba ni rationality.Ukifanya jambo lolote make sure it's rational,otherwise utapata criticism,na usishangae.Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.
Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.
Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.
Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.
Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.
Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.
Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Mkuu hatuna chama chochote kizuri cha upinzani kwani badala ya kuzungumzia Masuala muhimu kama Uchumi wameanza kuzungumzia masuala ya ukanda na Ukabila. Je kwa Serikali kujenga uwanja wa ndege Chato ni kosa? Mikoa ya Kaskazini kwenye uchimbaji wa madini wa Tanzanite wamepewa uhuru mkubwa kwa wachimbaji wadogo wakati kanda ya Ziwa migodi yote imepewa wawekezaji. Hilo limeiinua mikoa hiyo kiuchumi zaidiKumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.
Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.
Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.
Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.
Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.
Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.
Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Yamekuwa malisho ya mbuzi na Nyumba za popo!Nasikia ata Mobuto alipeleka maendeleo yasiyohitajika kijijini kwao na leo yamekuwa magofu.
Ndio kitakachotokea huko Chattle.Yamekuwa malisho ya mbuzi na Nyumba za popo!
Wewe ndiyo unajaribu kupandikiza chuki. Serikali inapaswa kutekeleza mipango iliyopitishwa na kupatiwa fedha na Bunge. Ikiwa inafanyika kinyume na hapo ni kasoro ambazo lazima zisemwe. Haya mambo ya ukasikazini ni porojo za kuachwa.Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.
Kwa kisingizio kuwa Kuongozi akitoka mahali fulani basi maendeleo yasipelekwe huko bali yaendelee kwenda kwao kwa sababu itakuwa ni upendeleo na dhambi kubwa kuendeleza anakotoka kiongozi Mkuu.
Huu kwangu ni uchoyo na uchonganishi wenye nia ovu ya kuligawa Taifa.
Nazungumza hivi ni kiwa ni Mzaliwa wa Kaskazini na ambaye nimeshuhudia miongo ambayo kwetu tumependelewa sana tangu Uhuru kuanzia Umeme hadi miundo.binu nk. Tumekuwa na kawaida ya kuwahadaa wenzetu kuwa maendeleo yanaenda kwetu kwa sababu tumesoma nk.
Nakumbuka hata Mh: Nagu aliwahi kulalamikiwa kuwa kuna idara na Wizara fulani zimejaa watu wa Kaskazini na moja ya majibu aliyojibu ni kuwa sio kosa kwa watu wa Kaskazini kujazana TRA kwa sababu ndio waluosomea taaluma hizo, akaongeza kuwa kama jamii zingine zinataka kufanya huko waende wakasome na wao wataajiriwa.
Tulishangilia sana hili huku tukisahau kuwa kauli zile ndizo zilikuwa Alalaye usimwamshe kwani akiamka utalala wewe. Na hili ndilo limetumia sasa ambapo mnaona kuna wanasiasa wanatumia Mwanya huo huo kujiimarisha kwa kutoa kauli za kibaguzi huku wakisahau kuwa wao ndio waliopanda mbegu hizi.
Tuache roho mbaya na kugawa Taifa letu kwa ubaguzi huu unaofanywa na Upinzani.
Mkuu asante sana kwa andiko lenye kuongea ukweli mtupu. Huu wanaouita upendeleo baadhi yao walikuwa bado hawana akili zenye kuelewa nini kinaendeleo duniani, enzi zile mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani alipopeleka lami kwa wingi sana ili barabara nzuri zijengwe jimboni kwake.Kumezuka tabia mbaya sana na yenye kila viashiria vya kutaka kuwabagua Watanzania. Hili limekuwa gumzo kubwa la wasiopenda cake ya Taifa iende kila mahali baki kwao tu.