Kusema kweli mimi ni mjinga Sana


yan jamaaa umeongoza kituo tu kwenye jina lako......hufai kwa kila kona ww....mods tetea user names
 
mods sielew majina yanayotumika humu siku hizi....yani copyrite au jamaa kanihack? ngoja nibadili user name aisee

huyo jamaa anajiita Wise boy. hiyo . ndiyo imewatofautisha
 
Wew sio ujinga huoo

Ni uanaume....huoni zizi lenye ng'ombe kumi dume ni moja, tu


Make a step kwa kile unachotak kama vp endelea au punguza, UKITAKA KUACHA MUONE mangatara akupe mwongozo

merengo90;
Miye nnani hata niweze kumpa mwongozo? Wataka nifanya miye Mungu? Ni huyo huyo Mungu wake anayesema kuwa anampenda ndiye tu amsaidie.
Tembea hata majumba yoote ya ibada, bila weye kujitambua ni bure. Uzuri wake huyu, tayari kishajitambua kuwa analo tatizo. Atafute tu tiba ya tatizo. Si kila king'aacho ni dhahabu.
Jifunze kutokana na hao ulioshawahi tembea nao bila uhakika kwani ungekuwa na uhakika usingenda kipima. Sasa, ulishawahi jiuliza kama kwa siku hiyo hiyo uliyompata, weye ulikuwa wa ngapi? Ulishawahi jiuliza, kuna tofauti gani kati ya yule wa jana na huyu wa leo?
Nasema, hakuna tofauti, hata aweke uudi na nazi, wote wamoja tu, ingekuwa tofauti, tusingalifikia mshindo.
 

Nikisema mwongoz nazungumzia ushauri, mkuu
 
Wenzako tunalilia kuwa huko wewe watakakuja sugua bench huku,utaweza kula kwa macho?
mkuu ebu nipe mbinu kwanza, unawataje hao?
Kama Mungu yupo tu,atakiwa hoi juu ya kitanda ukitubu anasamehe..

Yani wewe ni kama vile una undugu na huyo jamaa kwenye avatar yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…