Kusema kweli mimi ni mjinga Sana

We jembe sana endelea tu mkuu
 
Kuna msemo unaosema ukiona mwanamme anapenda sana wanawake basi ujue utotoni walishamgeuza au uko mbele anaweza kuwa shoga ni hayo tu Wiseboy.

mmmh sio kweli, ila inawezekana ana hormone nyingi za kuongeza nyege, ndo maana tamaa inamzidi uwezo
 
kujistukia ni mwanzo wa ukombozi
 

kumbe huna hera? wenzio walio kama wew wana fweza pole
 
Picha tafadhari, ili tujue ni aina gani ya wadada wanakuchanganya akili.
 
Kuna wakati niliwahi kukwambia wewe ni mjinga ukabisha tena ukatishia kunirushia ngumi. Leo umekiri?
 
Wew sio ujinga huoo

Ni uanaume....huoni zizi lenye ng'ombe kumi dume ni moja, tu


Make a step kwa kile unachotak kama vp endelea au punguza, UKITAKA KUACHA MUONE mangatara akupe mwongozo
 
Last edited by a moderator:
Neno la Mungu linasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa umefanya vyema kabisa kujitambua wewe ni mjinga,sasa chukua hatua ya kubadilika,acha pombe,jiepushe na makundi,fikiri zaidi mambo ya uchumi,tafuta marafiki wenye mlengo huo achana na marafiki wanaokupelekea huko,na kubwa kuliko yote kuwa mtu wa Ibada kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…