Huo upande wa pili unanini chakuscan?? Mambo mengine unajionheza mdogo wangu. Ukienda kuscan chukua format zote ya image na PDF ili hiyo ya PDF ikija kuzingua au kucorrupt una convert iyo image tena. Mwenyewe tu
Ndo nikasema chukua iyo fomart ya picha pia. Ili uiconvert mwenyewe unatumia application gani kufungulia PDF fileAsante kiongozi sasa mbona baada ya kuscan nikija nayo file hilo kwenye PC yangu inagoma kufunguka ila kwenye computer niliyoscan inakubali....tatizo nn mkuu?
Achana na adobe inaufala sana chukua Nitro pdf nzuri saanaNimefanya hivo sasa kwa nn kwenye simu
Adobe reader inafunguka ila kwenye PC adobe reader inazingua???
Update adobe yako itafunguka usipanic mkuuNimefanya hivo sasa kwa nn kwenye simu
Adobe reader inafunguka ila kwenye PC adobe reader inazingua???
Tatizo flash yako au computa yako haina program ya kufungua hicho cheti kama pdf
Nitumie pm email nikutumie kama hutojali ..maana kuipata inasumbua kimtindo ..unatumia PC ndioMkuu nitro nichukue kwa PC ama??
Kwenye PC yako una pfd / adobe reader?Asante kiongozi sasa mbona baada ya kuscan nikija nayo file hilo kwenye PC yangu inagoma kufunguka ila kwenye computer niliyoscan inakubali....tatizo nn mkuu?