Kusamehe ni mtihani, jitahidi uushinde

Tatizo linakuja pale uliyemsamehe hasa mpenzi anadhamiria mrudiane tena kimapenzi. Nikimsamehe ila staki tena mapenzi naye anachukulia et sijamsamehe. Kwan msamaha sahihi ukoje kwenye isue ya mapenz!
 
natamani uzi huu angeuona aliyekuwa mpenz wngu mana tulikoseana sna lkn baada ya kupita muda wa zaid ya miaka 2 nilimsamehe kbs japo sjawah kupata nafas ya kumwambia
 
Mimi kusamehe ni mwepesi sana ila mazoea sasa ndio sitaki tena, nikishakujua Una bila na Mimi au mabaya moyo wangu ni rahisi kukusamehe kabisaa, ila mazoea ndio utanisamehee
 
Daaaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…