Lowasa alivyokuwa siha alisema wadaiwa wa heslb watasamehewa madeni yao.
Wadaiwa wa heslb ni watu waliosoma chuo kikuu kwa mkopo wa serikali na huanza kulipa baada ya kuhitimu kupata ajira na kuwa na kipato cha uhakika kwa maana ya ajira ya kudumu.
Unaposema watasamehewa najiuliza mtu kama mhandisi daktari meneja wa benki mbunge kama nasari zitto riz1 nao wakumbwe na msamaha huo napata mashaka sana.
Kwanini wasilipe na fedha hizo zikaelekezwa kwenye kuboresha elimu mfano ujenzi miundombinu ya kufundishia? Mabweni ya kisasa na hata kujenga vyuo vipya.
Je, kama watasamehewa hawa watu wenye ajira na vipato vya uhakika kwani wapo wanaolipwa hadi mil kumi kwa mwezi halafu tukimbizane na mamalishe waliokopa nmb dcb na saccos itakuwa sahihi kweli?
Kwanini tusifute madeni yote tuanze moja kama ndo hivyo?