Kusambaa kwa maziwa fake ya Lactogen

Kusambaa kwa maziwa fake ya Lactogen

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
33
Wakuu kwa Siku za hivi karibuni kumetokea tatizo la kuadimika na kupanda kwa bei za maziwa ya unga ya watoto.
Kwamfano fomula ya maziwa ya sms kutoka elf 40 mpaka 50
Lactogen elf 8 mpaka 12.
Hii imepelekea kuingia sokoni kwa maziwa fake ya lactogen kutoka south africa.Maziwa hayo yamekua yakisababisha madhara makubwa kwa watoto mfano
.mzio(alergy)
.matatizo ya upumuaji kwa watoto
.magonjwa ya ngozi ie rushes zisizokwisha
.kikohozi kisichokwisha n.k
Ili kuyatambua maziwa hayo fake ya lactogen
.yanakua yamezungushiwa karatasi lenye maandishi ya kiafrikan(lugha ya south africa) badala ya lugha ya kiingereza kama awali.
.kwa kopo original maandishi yake yanakua yame chapishwa kwenye kopo kabisa tofauti na fake ambapo kopo limebandikwa karatasi lenye maandishi.

My take.
Wazazi na walezi kua makini na maziwa haya kwani yaliyopo sokoni asilima kubwa ni fake kabisa na serikali na mamlaka zakdm husika wamelifumbia macho swala hili nyeti kabisa.
 
Asante mkuu kwa taarifa.... Maana tukisubiri mamlaka zikemee tutasubiri sana na madhara yatakua yamekua makubwa.. Ndio maana naipenda JF mwaka wa tano leo sijawahi kuichukia
 
Hatari sana nimeyachukua jana tu hapa maeneo ya Gongo lamboto tena kwa bei ya 18000/-
Chakushangaza hayaonekani hadharani ukiomba ndio wanakuletea toka sehemu nyingine eidha wanakuambia ndio mzigo umefika wanaufungua ndio maana hawajaupanga.
Mamlaka husika chukua hatua haraka hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa hasa huku Gon go lamboto ndiyo yako sokoni kila duka.
 
Hatari sana nimeyachukua jana tu hapa maeneo ya Gongo lamboto tena kwa bei ya 18000/-
Chakushangaza hayaonekani hadharani ukiomba ndio wanakuletea toka sehemu nyingine eidha wanakuambia ndio mzigo umefika wanaufungua ndio maana hawajaupanga.
Mamlaka husika chukua hatua haraka hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa hasa huku Gon go lamboto ndiyo yako sokoni kila duka.

Mkuu, yapo sokoni karibu Dar yote. Afadhali huko wanayaficha, kuna sehemu yapo waziwazi. Ajabu ni kwamba, pamoja na TFDA kutangaza kuwa maziwa hayo hayafai na ni hatari kwa watoto, lakini bado yanauzwa waziwazi na wahusika hawachukuliwi hatua zozote zile!
 
Mtoto akikosa maziwa ya mama, maziwa mazuri ninayoyaamini ni ya ng'ombe na mbuzi tu.

Hayo mengine sio maziwa ila ni ladha za maziwa.
 
Acha walete vitu feki maana waafrika tumezoeshwa vitu cheap na fake,Hadi maraisi wetu Ni fake.
 
Yani hilo tatizo ni la miaka nenda rudi.
Halipatiwi uvumbuzi.Inakera sana
 
Mtoto akikosa maziwa ya mama, maziwa mazuri ninayoyaamini ni ya ng'ombe na mbuzi tu.

Hayo mengine sio maziwa ila ni ladha za maziwa.

Umeshapata mtoto? Kwa taarifa yako, mtoto chini ya mwaka mmoja hatakiwi kupewa maziwa halisi ya ng'ombe! Inapokuwa hawezi kupata maziwa ya mama, kwa sababu yoyote ile, mbadala wake ni milk formula na sio maziwa halisi ya ng'ombe. (Source; Paediatricians).
 
Asante kwa taarifa nineyanunua juzi kwa 17000 na kweli yana karatac hayajaandikwa kwenye kopo serikali iko bze na ukawa na katba na kupata mgombea wa ccm na mambo ya mcngi kabsa huku yanaharibika
 
Mie naona SMA ndio maziwa mazuri kwa mtoto

Hata mimi mtoto wangu anatumia SMA. Lakini nimesoma habari hata SMA yapo feki sokoni. Kudaadeki walahi! Sasa hata Cowgate adimu lkn sijasikia wameanza kuuza Cowgate feki.
 
Fake infant formula hits stores as genuine remains out of stock

[h=5] Posted Saturday, December 27, 2014 | by- Saumu Mwalimu,The Citizen Reporter
[/h] [h=1]Fake infant formula hits stores as genuine remains out of stock[/h] >Unscrupulous traders have taken advantage of the shortage of baby formulas to import and sell



lactogen.jpg
A brand of Lactogen baby formula PHOTO | THE CITIZEN PHOTOJOURNALIST

ADVERTISEMENT
Dar es Salaam. Unscrupulous traders have taken advantage of the shortage of baby formulas to import and sell uncertified products, The Citizen on Saturday can report.

This plot enables them to cash in from unsuspecting and apprehensive mothers who for more than three months now have been looking for the products but in vain.

About three weeks ago The Citizen on Saturday exclusively reported panic among lactating mothers after importers of Lactogen conceded the shortage of the product. Mothers were also looking for other popular brands like S-26 and SMA, which have also run out of stock.

Further investigations by this paper have established that some traders have imported in the country another brand of Lactogen baby formula which has not been registered by the Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA).

The authority has since warned people to be wary of the new brand, which they can easily identify through its labelling.

Unlike the registered brand whose instructions are in English and Kiswahili, the circulating product has its instructions printed in English and French.

Speaking to this reporter recently, the spokesperson of TFDA, Ms Gaudencia Simwanza, said the matter has also been brought to their attention and urged mothers to be very careful when buying powdered milk for their babies.

"They should look for brands whose labels have been written in Kiswahili and English, that should be the number one indication that the product has our blessings. Kiswahili is the language that most mothers in our country understand," she cautioned.

According to her, manufacturers have been given the condition of not using images of a healthy baby on the containers of infant formulas. The rationale, she said, is to discourage mothers from believing that the formulas are better than mother's milk. Lactating mothers are encouraged to as much as possible breastfeed their babies. This, she said was another indicator that mothers should watch out.

Third, the formulas should not have any pictures of toys and last the instructions should be printed in the steel cane and not the paper label.

"Infant formula is one of the high risk products and because the person using it cannot communicate until the effects are shown up using various body signs, therefore, TFDA is keen to make sure that only safe products reach our market. Mothers should be careful when they reach the store counters, otherwise they should consult the doctors before changing to another brand to prevent their babies from any allergy development," said Ms Simwanza.


ADVERTISEMENT
The spokesperson also dealt a blow to mothers who have also been looking for another popular brand, SMA, which is also out of stock in many shops. She noted that the popular powdered milk was not in the list of products registered by TFDA.

The list of certified baby formulas released by TFDA, according to Ms Simwanza, include Lactogen 1, 2 and 3, Nan 1 and 2, S-26 Gold, Promil Gold 2, Progress Gold 3, Tina infant formula as well as Infracare 1, 2 and 3.

"We have already started inspections to make sure that only the registered brands are in the market and mothers should switch only after consulting the doctors," she added.

Speaking earlier, the official importer of Lactogen, Nestle Sea Trading, admitted the continued shortage of the products hinting also that it is possible for unscrupulous importers to take advantage of such situation.

According to Nestle's scientific and regulatory affairs manager Marsha Yambi, the only best option mothers could do is consulting their baby's specialists.

"In situation like this unfaithful people usually take advantage, we are not sure but the brands in the market might be coming from South Africa which are not yet registered with the TFDA, but we still insist that mother's milk is the best for your baby," said Ms Yambi.

Although mother's milk is the best and important for infant development for the first six months after birth, mothers who have already introduced their children with the infant formulas in Dar es Salaam continue to face the serious challenge in feeding their babies.

The little right feeding education mothers usually have, give them a major challenge especially on making decision to brand switching.

With majority fear to develop allergies to their children, some mothers are forced to shift from one brand to another.

Ms Tatiana Jaibu had to introduce her eight-month-old son to cow milk fearing that the brands in the market might be counterfeit.

"I know that, I need to introduce him to cow milk until at least when he's a-year-old, but I find it better that he starts now rather than buying the Lactogen available in the market for which I don't understand the language used," said Ms Jaibu.
 
M
Hatari sana nimeyachukua jana tu hapa maeneo ya Gongo lamboto tena kwa bei ya 18000/-
Chakushangaza hayaonekani hadharani ukiomba ndio wanakuletea toka sehemu nyingine eidha wanakuambia ndio mzigo umefika wanaufungua ndio maana hawajaupanga.
Mamlaka husika chukua hatua haraka hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa hasa huku Gon go lamboto ndiyo yako sokoni kila duka.

Mkuu mamlaka zimelala usingizi wa pono,ama kwa makusudi au kwa kutokujua tu.
 
Asante kwa taarifa nineyanunua juzi kwa 17000 na kweli yana karatac hayajaandikwa kwenye kopo serikali iko bze na ukawa na katba na kupata mgombea wa ccm na mambo ya mcngi kabsa huku yanaharibika
Mkuu,naichukia sana serikali na mamlaka zake.
 
Back
Top Bottom