Kusalitiwa

Mbaya zaidi we mtu wa kusafiri hapo huwez mwamini hata kidogo ili uishi na mtu lazima umwamini anyway vuta subira Kwa uangalifu akirudia rudisha kwao viumbe wa ajabu haya
 
Kama wamekulana PGA chn au ukubali mle wote na jamaa, mm npo na jiran Yangu alimfuma mke wake na jamaa na akakiri mwanamke kuwa kweli na hatardia tena lakn jamaa aktoka yule jamaa anakula mzgo kama kawaida tena ndani kwake,

Juz kati kaliwa chocho tena Mme yupo kaenda kuoga tu kumbe mwanamke anapanga jamaa alipoanza kuoga tu jamaa nae Kafka eneo la tukio, kala mzgo kama kawaida

Mm mwanamke akikir ametenda na jamaa napga chn bila hata kuomba ushauri au nasamehe bila kuomba ushauri! Hatari sana hiyo mkuu!

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Mbaya zaidi we mtu wa kusafiri hapo huwez mwamini hata kidogo ili uishi na mtu lazima umwamini anyway vuta subira Kwa uangalifu akirudia rudisha kwao viumbe wa ajabu haya
Ndio wazo langu


Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Umemtoa Dar? Kwa maana mmeokotana tu.

Kama jamaa ako anampango wa kuoa mwachie. Jitafutie mtoto mwingine mzee. Huyo hakupendi.

Au unaona wivu?
Huyu binti ana roho ya kupenda shemeji zake, hata huyo akiachiws hatodumu nae
 
Ila shemeji kwa mujibu wa mtoa mada alisema waliokotana tu Dar.
Kuokotana na mtu wakati mwingine huwa si tatizo, tatizo ni tabia za uliye muokota nina hakika shemeji huyo mwanamke hata kama angetolewa nyumbani kwao kwa heshima zote bado kama angelikua na tabia za hivyo za kutamani shemeji zake basi angefanya tu hilo tendo bila ya kujali kumshushia heshima mpenzi wake! Hata huyo aliyefanya nae akimuweka ndani ipo siku atafanywa na rafiki au hata ndugu wa huyo mwanaume
Wanawake/wanaume wa hivi wasio weza kuzuia macho yao na kuyafunga break ni wa kuogopwa zaidi ya ukoma
 
Kikubwa jamaa asimuweke moyoni tu maana atakuja kujiumiza baadae
 
Mama yangu!!! Dar hii hii na bado ukamuokota!! Pole sana man, kama ulishapita vunga mwachie mwana akaze mutu ya Dar,,, we zama next door
 
Mrudishe kwao haraka sana

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Kaniomba msamaha na kamwe hata rudia kasema... Sasa nipo njia panda

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Ndio tabia yake huyo. Yani mwezi tu kachepuka na rafiki yako?mbona mapema sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…