kusaliti penzi.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
hivi mabib na mababu kama wewe ni mume/mke wangu halaf me nikalala na mwanamke/mme mwingine lakii kwa kuondoa maganzitu, ila moyo upo kwako kwa dhati, utanichukulia kua nimekusaliti??
 
pambaaaf sako..........................kusoma hujui hata picha tu kwamba hyu ni mbuzi au punda?
 
kwa nini usiondolee hayo maganzitu kwa mkeo? yes huo ni usaliti.:decision:
 
Pauline hapa tunachosaliti ni penzi sio uroda. penzi bado lipo palepale wala sikupunguzii.
 
Umeuliza swali kwasababu hujui jibu alafu jibu unalopewa unalikataa!Sasa uliuliza ya nini kama unaamini sio na jibu la ndio hulitaki?
 
hivi mabib na mababu kama wewe ni mume/mke wangu halaf me nikalala na mwanamke/mme mwingine lakii kwa kuondoa maganzitu, ila moyo upo kwako kwa dhati, utanichukulia kua nimekusaliti??

Ni usaliti tena wa hali ya juu sana kwanini usiondolee hayo maganzi yako kwa huyo uliyenaye??
 
Mimi pia siwaelewi, Kwa sababu penzi bado lipo kwake sasa kapunguza tu na kurudi kimyaaaa! na inaonesha kuwa mke kambania sana sasa iweje usaliti tena?
 
kwani mapenzi kwa mume na mke ni nini kwa mtazamo wako? kumbuka mke siyo dada au mama mzazi, ni mtu ambaye mna mahusiano ya ndani au kwa lugha rahisi mtu ambaye mnapeana tendo la kujamiiyana bila kuruhusu mtu mwingine. Tendo la kujamiiyani kwa kufuata taratibu zinazokubalika ndani ya jamii ndicho kitu pekee kinachofanya kuwepo na ndoa na tendo hilo linaonyesha upendo wa ndani wa watu wawili waliopendana kwa dhati na kuamua kuwa mke na mume. Endapo utafanya tendo hilo nje ya ndoa maana yake upendo kati yako na mwenzi wako umefifia na tunasema huo ni usaliti kwani wakati ulipo oana mlikubaliana tendo hilo litakuwa kwa nyie wawili pekee.
 
Mpaka unaenda kwa mwingine tayari penzi/pendo ushaliondoa kwa ulienae!!!Na tutadhibitishaje kuwa penzi bado lipo kwake!!!kama sio usaliti jaribu akuombe yeye achakachue na mtu wakati ukishuhudia lakini moyo wake upo kwako!!!Ukiweza kuvumilia utfahamu kama ni usaliti au laa!!maana ya usaliti ni kwenda kinyume na makubaliano iwe kimwili au kiakili/kifikra.naomba kutoa hoja
 
We kamua tu bana, wasikutishe hawa madada..........Penzi na ngono ni vitu viwili tofauti. Ila hata hivyo mademu karibia wote hawapendi kuona unagawa mali zao pembeni kwa hyo jitahidi asigundue..........Za kuambiwa changanya na zako.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu, mara moja moja mechi za kirafiki zipo kwani ndio zinaimarisha skills kwenye mechi muhimu!!!
 
We kamua tu bana, wasikutishe hawa madada..........Penzi na ngono ni vitu viwili tofauti. Ila hata hivyo mademu karibia wote hawapendi kuona unagawa mali zao pembeni kwa hyo jitahidi asigundue..........Za kuambiwa changanya na zako.

Ha ha haaa... Ushauri wako umeendana kabsaaa na jina lako. Si mchezo.

Ila kuna amri (isiyo rasmi) ya 11: 'Thou shalt not be caught'
 
We kamua tu bana, wasikutishe hawa madada..........Penzi na ngono ni vitu viwili tofauti. Ila hata hivyo mademu karibia wote hawapendi kuona unagawa mali zao pembeni kwa hyo jitahidi asigundue..........Za kuambiwa changanya na zako.
Duh mzee huko unakoelekea siyo kabisaaaaaaaaaaaa. I am sure baada ya kufanya hilo unalolitamani utajilaumu sana........halafu kibaya ni kwamba it does not stop with the first time, manake utaendelea na kuendelea hadi utakamatwa. Hebu kaa chini na mamaa muyaongee matatizo yenu. (HAYA SI YANGU NI YAKO WEWE DA WOMANIZER UKIWA UNAMSHAURI MTWA ASIMKONG'OLI WORKMATE WAKE VIPI TENA HAPA?)
 
hivi mabib na mababu kama wewe ni mume/mke wangu halaf me nikalala na mwanamke/mme mwingine lakii kwa kuondoa maganzitu, ila moyo upo kwako kwa dhati, utanichukulia kua nimekusaliti??
aNGALIA FAIDA ZAKE NA HASARA ZAKE THEN CHAGUA LIPI NI ZURI ZAIDI
 
Duh mzee huko unakoelekea siyo kabisaaaaaaaaaaaa. I am sure baada ya kufanya hilo unalolitamani utajilaumu sana........halafu kibaya ni kwamba it does not stop with the first time, manake utaendelea na kuendelea hadi utakamatwa. Hebu kaa chini na mamaa muyaongee matatizo yenu. (HAYA SI YANGU NI YAKO WEWE DA WOMANIZER UKIWA UNAMSHAURI MTWA ASIMKONG'OLI WORKMATE WAKE VIPI TENA HAPA?)
Unajua ni nini Gaga, hawa jamaa wawili ni tofauti sana. Yule nilimwambia anakoelekea siko kwa sababu anaonesha ndio kwanza anataka kujifunza uhuni, kwa uzoefu tu ni kwamba ataharibu kabisa yaani inabidi atulie na afikiri vizuri sana manake anaonesha hata ndoa yake bado anaipenda sana. Lakini huyu wa pili yeye anachotaka ni ku-justify anachofanya, sasa wewe unadhani mtu kama huyo unamsaidiaje, kwa upande wangu watu kama hao huwa nawaambia wanachotaka kusikia period...........Ndiyo maana umeona maoni mawili yanayokinzana kimtindo bibie, Usiogope ushauri pia unategemea na hadhira.
 
Soma vizuri mwishoni pia......"Za kuambiwa changanya na zako bibie" hahahahaha
 
Unajua ni nini Gaga, hawa jamaa wawili ni tofauti sana. Yule nilimwambia anakoelekea siko kwa sababu anaonesha ndio kwanza anataka kujifunza uhuni, kwa uzoefu tu ni kwamba ataharibu kabisa yaani inabidi atulie na afikiri vizuri sana manake anaonesha hata ndoa yake bado anaipenda sana. Lakini huyu wa pili yeye anachotaka ni ku-justify anachofanya, sasa wewe unadhani mtu kama huyo unamsaidiaje, kwa upande wangu watu kama hao huwa nawaambia wanachotaka kusikia period...........Ndiyo maana umeona maoni mawili yanayokinzana kimtindo bibie, Usiogope ushauri pia unategemea na hadhira.

bahati yako ulikuwa umekamatwa utamu kweli du! Noma eeh!
 
Back
Top Bottom