Kusalimiana ni "Unafiki"

Mada yako inaonesha unastress mkuu,tena za kiwango cha juu.
 

Usilazimishe unacho kiwaza wewe kifanane na kinacho waziwa na wengine.
Kwanza tuanze kutafuta maana ya "Mnafik" ambalo ni neno la kiarabu tunalo litumia kwenye kiswahili.
Pili yawezekana umevurugwa na hii imepelekea ukapata mtazamo ambao ni hasi kutoka kwa wanao kuzunguka kwa salam.
Don be too general mate, try to be specific unapoeka post hapa jf aiseeee.....
 
Mimi nadhani wewe umenatafsiri vibaya hicho kitu .
Kwa mfano unaweza ukamuona mtu amekuja kazini lakini haina maana yuko mzima au salama , lakini kwa kujuliana hali utatambua hali yake halisi .
 
Kukote ulipo usisahau maadili ya kwenu...Salam wajibu utu kusalimiana....
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1445576636.783746.jpg
    69.7 KB · Views: 229
salamu ni mazoea tu na UNAFIKI mi nilijua niko mwenyewe....
 
japokua ni tamaduni za wengi duniani ila hamna kubwa zaidi ya mazoea na umbea
 
Unakuta unamuiliza mtu, habari yako/ mambo! Atajibu, salama/ poa!
Baada ya hapo ataanza ooooh, unajua sijui naomba nikopeshe mara oooh mara oooooh sijui kichwa kinauma!
 
Salaam my foot! me nadhani uko sahihi,hakuna umuhimu wa salamu kwa sababu hakuna ukweli wowote kwa sasa,heri kitambo wazee walikuwa wanasema ya moyoni wakitakiana mema kiukweli.Now unasalimiwa useme mambo sio mazuri ili uchekwe ndani kwa ndani.Salaam ni muhimu kwa wasiofahamiana tu.
 
Iv ukiamka asbh unaanzaje kuongea na wazaz wako? / ukitaka mtongoza KE unaanzaje? Dumisha mila kuwa nje ya nnch uc2haribie tamadun hapa.
 
salamu inasaidia kuweka maelewano mazuri baina ya watu, mfano: umewapita watu wamekaa bila kuwasalimu then unafika mbele kidogo unagundua umepotea na wewe ni mgeni, ile kutaka kuwauliza wale watu njia ya kwenda sehemu fulani ni ipi hapo hutopata ushirikiano kwao maan hukutoa salamu. pia salamu huashiria hali ya kuweka usawa baina ya watu ndo maana watu wasiopenda salamu huonekana wanamaringo na hutengwa na watu. hiyo imani yako kuwa mtu anajua utatoa jibu gani ni uongo kwani huwezi jua ye mzima je kama mwanae kaamka mgonjwa automatically unadhani tu kila siku atasema hatujambo. baki na mtazamo wako uone utakavyokosa michongo na fursa za kimaendeleo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…