my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Wachina hawanaga salaam, ila wanaroho mbaya kupita kiasi
Dogo habari yako. Kwa hiyo Canada ndio mnafundishwa msisalimie?
Kata school zimeharibu sana vijana. Haelewi kabisa maana ya salam, anawaza majibu badala afikirie kwanini watu wanasalimiana. Salam is beyond the answer that you here.
Hata waloleta elimu wanaambizanaga 'Hi' leo hii wewe kufika tu canada unaona salam haifai. Think critically kijana
Mleta uzi mi pia nipo canada tutaftane basi
Kazi mnayo msiyo salimia kuto kusalimia watu ni kujisikia inamaana ata ndungu zako uwasalimii
Dogo habari yako. Kwa hiyo Canada ndio mnafundishwa msisalimie?
tuko pamoja kabisa mie hiwa sisalimia kabisa tunapishana kabisa tu kama magari na hata ukinisalimia naweza nisiitikie
Sio lazima aseme "Nzuri" kuna wengine ukiwauliza habari yako wanakuambia "sio nzuri" au "mambo mabaya"