Inaonekana Boss wewe una mashaka yako hasa inapofika mwisho wa mwezi na bila wao kujipendekeza kwako mwisho wa mwezi watauona mgumu.Hivi kwa nn wafanyakazi
Wanapenda kuwasilimia mabosi
wao mwisho wa mwezi ??
Leo asubuhi tu wakati natoka
mlinzi kanisalimia "shkamoo bosi"
nilipofika ofisini pia nimechangamkiwa sana na staff wangu, umeamkaje boss??
Hali kama hii huwa sikutani nayo. mpaka mwisho wa mwenzi !!!
Nini sababu?
Basi mkuu mm siko hivyo; wala sipendi kusalimiwaJirekebishe mkuu, hizo ni dalili mbaya kwa upande wako. Inaonesha kwamba, mtu kupata haki yake toka kwako ni ngumu bila kukunyekea.
Ukiona hiyo ujue hawana tricks
Mie mwisho wa mwezi sivai za ndani
Nikijipitisha tu, bhasss
Huwa unafanyaje kwani?
Chuchu saa sita zinatoboa blausi unadhani bosi atabaki??
Thubutu yake