Kusajili NGO

Kusajili NGO

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,265
Reaction score
4,452
Anahitajika mtu mwenye utaaluma na uzoefu wa kuandaa katiba,kufuatilia na kusimamia usajili wa NGO au Foundation ambayo itakuwa inaoperate Tanzania nzima.

Kama kuna mwenye uzoefu na ambaye anauwezo wa kusimamia hiyo kazi tafadhali njoo PM unipe taarifa zifuatatazo:
  • Gharama na mahitaji ya kuandaa katiba incl printing.binding
  • Ada za malipo ya Usajili
  • Gharama na mahitaji megineyo
  • Jumla ya gharama zote pamoja na muda

Karibuni
 
njoo pm kama unahitaji hio kazi utapewa maelezo yote

Sasa kumbe ulitaka tukufuate huko PM kwanini tu usingerahisisha Kazi kwa kututafuta Members wote wa JF katika PM's zetu ili utuwasilishie hiki kinachotuchanganya?
 
ubongokid Naona picha ya kifo cha socrates kupitia sumu kwenye dp yako!.. Unajua sababu ya kifo chake ni kuambiwa anadanganya vijana na maandiko yake!?
 
Back
Top Bottom