Nafikiri kikubwa hapa ni ukosefu wa communication for the couple with children- kama mama aliona hashiki mimba angekwenda check then amshauri namwenzie akacheck. Kwa couple iliyoajiri mtoa mbegu at least walikuwa wanacommunicate hadi kufikia huo muafaka kosa lao ni kuwa wameamua uamuzi mbaya wakati other alternatives zipo. Si wangekwenda for adoption, au hata sperm banks kama issue ni mtoto azaliwe na mama?
Ila hili ni fundisho kwa wote jamani wanaume ili kuepusha aibu kama hii isikupate au usidanganywe na mamsap please nenda kajicheck uwezo wako kabla hujaamua mengine.