Mbona kuna dawa nyingi sana za kusafisha tumbo vyakula,mboga na matunda na viungo vingi sana vya asili vinasafisha tumbo.
1 ya dawa ya kuondoa sumu mwilin na kusafisha tumbo ni KUFUNGA,
kunahiyo hapo juu aliyo kwambia mdau 1 juice ya ukwaju nayo ni noma hiyo ukinywa ndan ya saa 1 unaweza anza pata result.
Chukua maziwa fresh ya moto pamoja na punje za vitunguu swaum.Tafuna hizo punje huku ukishushia na maziwa.
Nyingine ambayo ni balaa ni mlonge huo na amin ni funga kazi piga doz yake kutwa mara 3 uzuri wa mronge hata kama unakitambi na unene usio eleweka unaweza ukastukia unakonda na kupungua uzito kwa gafla mpaka ukashangaa.
ANGALIZO: usistuke wala kutafuta dawa mbadala pindi utakapo kuwa unaharisha kwani dawa zote hapo juu ukizitumia lzm uharishe.zipo na zingine nyingi xana