L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Feb 5, 2014 #1 wapi naweza safisha picha kwa tsh.200/= kila moja kwa hapa dar..?
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,929 Feb 5, 2014 #2 LIGEDENGE 1 said: wapi naweza safisha picha kwa tsh.200/= kila moja kwa hapa dar..? Click to expand... unavyosema HAPA DAR unataka kumaanisha wote tupo Dar au!!!???. ulipaswa kusema kwa Dar...sio hapa Dar
LIGEDENGE 1 said: wapi naweza safisha picha kwa tsh.200/= kila moja kwa hapa dar..? Click to expand... unavyosema HAPA DAR unataka kumaanisha wote tupo Dar au!!!???. ulipaswa kusema kwa Dar...sio hapa Dar
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Feb 5, 2014 #3 nenda kariakoo mtaa wa uhuru ndipo wapo wasafishaji mkuu..
L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Feb 5, 2014 Thread starter #4 Remote said: unavyosema HAPA DAR unataka kumaanisha wote tupo Dar au!!!???. ulipaswa kusema kwa Dar...sio hapa Dar Click to expand... hongera
Remote said: unavyosema HAPA DAR unataka kumaanisha wote tupo Dar au!!!???. ulipaswa kusema kwa Dar...sio hapa Dar Click to expand... hongera
L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Feb 5, 2014 Thread starter #5 ndetichia said: nenda kariakoo mtaa wa uhuru ndipo wapo wasafishaji mkuu.. Click to expand... poa. ila nimepita baadhi sehemu wanaanzia tshs.250/ nataka wanaposafisha kwa tsh.200
ndetichia said: nenda kariakoo mtaa wa uhuru ndipo wapo wasafishaji mkuu.. Click to expand... poa. ila nimepita baadhi sehemu wanaanzia tshs.250/ nataka wanaposafisha kwa tsh.200
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,058 Feb 6, 2014 #6 LIGEDENGE 1 said: poa. ila nimepita baadhi sehemu wanaanzia tshs.250/ nataka wanaposafisha kwa tsh.200 Click to expand... kwani na ww ni mchaga au mpare??
LIGEDENGE 1 said: poa. ila nimepita baadhi sehemu wanaanzia tshs.250/ nataka wanaposafisha kwa tsh.200 Click to expand... kwani na ww ni mchaga au mpare??
L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Feb 6, 2014 Thread starter #7 MUSSOLIN said: kwani na ww ni mchaga au mpare?? Click to expand... kwahio wachaga na wapare ndio wanasafisha kwa 200/=..?
MUSSOLIN said: kwani na ww ni mchaga au mpare?? Click to expand... kwahio wachaga na wapare ndio wanasafisha kwa 200/=..?