Habari zenu ndugu zanguni. Naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Laptop. Huwa natumia kitambaa laini, lakini naona kuna michubuko kwenye screen. Naomba wataalamu mnisaidie ili nisiendelee kuharibu mashine. Natanguliza shukrani.