0772 099471 nicheck hapoHello guys...
Nataka kutuma Jiko la kupikia (55cm × 50cm) kutokea Dar kwenda Kahama ila sijui wapi naweza pata huduma ya usafiri.
Nimejaribu kucheki na DarLux ila wao wamesema haiwezekani sababu lina mlango wa kioo (wanaogopa usije ukapasuka). So yeahhh....naomba mnisaidie option nyingine kwa wanaofahamu.
Kama nikipata mawasiliano/gharama ntashukuru zaidi.
duh, dalili ya 'kula kimasihara' hii0772 099471 nicheck hapo
Mtafute huyu jamaa anaitwa Mandela ana ofisi pale ubungo kule kwenye makontena aliwahi kunisafirishia taa ya gari umbali wa kama km 1200 ilifika salama bila hata mkwaruzo namba yake ni 0718173025 umwambie nimeagizwa na mdogo wake Mgogo. Ila hakikisha umefika ofisini kwake na kama ukikwama unitafute hapa JFHello guys...
Nataka kutuma Jiko la kupikia (55cm × 50cm) kutokea Dar kwenda Kahama ila sijui wapi naweza pata huduma ya usafiri.
Nimejaribu kucheki na Dar Lux ila wao wamesema haiwezekani sababu lina mlango wa kioo (wanaogopa usije ukapasuka). So yeahhh....naomba mnisaidie option nyingine kwa wanaofahamu.
Kama nikipata mawasiliano/gharama ntashukuru zaidi.
Thank you.Tumia magari ya mizigo nenda mnazi mmoja pale jiran na kikwete youth park au jangwani au hapo mwembechai nyuma ya msikiti.utasafirisha simple tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute huyu jamaa anaitwa Mandela ana ofisi pale ubungo kule kwenye makontena aliwahi kunisafirishia taa ya gari umbali wa kama km 1200 ilifika salama bila hata mkwaruzo namba yake ni 0718173025 umwambie nimeagizwa na mdogo wake Mgogo. Ila hakikisha umefika ofisini kwake na kama ukikwama unitafute hapa JF
KaribuShukran sana. Ntamtafuta kesho mapema then nikikwama mahali ntakucheki.
Ndio kazi yetuWe unasafirisha ama unamjua msafirishaji???