pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Hivi kwa nini watu wanadhani eti ukipanda ndege "unakula bata"
Ni ushamba tu!
sasa we unaweza fananisha huduma za ndani ya ndege na za Treni ya kwenda mwisho wa reli???
sasa we unaweza fananisha huduma za ndani ya ndege na za Treni ya kwenda mwisho wa reli???
eti bana.......miss u ujue.....
kwa hiyo ukipanda ni kuenjoy kula bata,hahaha tanzania inafuraisha sana,wonders shall never end
Kwasababu kwa nchi yetu ni ka safiri ka gharama.