Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
habari wakuu wotee kwa pamoja.hivi hii ni teknolojia gani? au ni vifaa gani vinawezesha fm radio kusikika katika internet??? wenyewe wanaitaga "striming radio" kama sijakosea..naomba watalam wanaofahamu hili jambo wanijuzee.nitafurahi mno