Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Nimejaribu kutafuta kwenye vyanzo mbalimbali vya taarifa ili kupata hotuba nzima ya maandishi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tz alipokuwa akihutubia jana kwa kiswahili nchini Ethiopia lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kuipata mwenye nayo aiweke hapa na kama haipo basi kurugenzi ya ikulu ijitathimini kama inafaa kuhamia Dodoma na serikali