Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.
Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Laurence Mafuru' ameandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Laurence si Florence.
Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
Acha kukosoa Malaika wakuu wanaozunguka dunia nzima na kujua kila kitu kuliko MTU mwingine.Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.
Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Lawrence Mafuru' limeandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Lawrence si Florence.
Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
G MSIGWA ALIPOTEULIWA ALITANGAZWA KUWA NI MSEMAJI WA RAISI NA SIYO MSEMAJI WA IKULU KWA HIYO LEO JPM ALIVYOSEMA WE GREYSON KAWAAMBIE NAMFUKUZA LAWRENCE MAFURU PALE HAZINA NIKITOKA NISIMKUTE NA MWAMBIE FROLENCE TURUKA AENDE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI BASI HAPO ALIVYOGEUKIA KAMERA LAWRENCE NA FROLENCE VIKAMCHANGANYA YEYE MSEMAJI SIO IKULUMsigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa

Msigwa naye jipu pia.Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.
Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Lawrence Mafuru' limeandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Lawrence si Florence.
Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
sasa kama anayemuamini analiambiya taifa habari ya uongo bado anaendelea kuwa naye haha nitacheka kweli jamaa yule hapo ikulu pana tatizoG MSIGWA ALIPOTEULIWA ALITANGAZWA KUWA NI MSEMAJI WA RAISI NA SIYO MSEMAJI WA IKULU KWA HIYO LEO JPM ALIVYOSEMA WE GREYSON KAWAAMBIE NAMFUKUZA LAWRENCE MAFURU PALE HAZINA NIKITOKA NISIMKUTE NA MWAMBIE FROLENCE TURUKA AENDE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI BASI HAPO ALIVYOGEUKIA KAMERA LAWRENCE NA FROLENCE VIKAMCHANGANYA YEYE MSEMAJI SIO IKULU
Duh!Msigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa