Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,makosa madogo yarekebishwe hima

Nimeona press release toka kurugenzi ya mawasiliano ikulu ikipotosha kuhusu makubaliano ya malipo ya good faith toka Barrick.

Kwa kweli ni aibu kama waraka huu umetoka ofisi kuu hapa nchini. Hii inaonyesha ofisi hii haiko makini kabisa na huenda kuna mengi ya hovyo yanaendelea pale kwa kukosa weledi na umakini.

Ni aibu tupu. Tuwafanyeje hawa watu?
32dfb4d6108ed26923c6a3f61c0ba571.jpg
Mkuu wa kaya from Kolomije...
Wasaidizi wote from Kolomije...
Sasa ikishakuwa hivyo WHAT DO U EXPECT? Na wala mimi sidhani kama ni makosa ya kiuandishi, wanakuwa wamedhamiria kabisa isomeke hivyo!
 
Samahani wakuu dolla za kimarikani bilioni 700 kibongobongo bei gani?
Mkuu ni zaidi ya Shilingi Trillion 1,400. Sasa kama zile Trillion 425 tungepewa Noah jee hizi watu wangekuwaje?
Huku kuabfika tamko na bila kuhakiki siku moja watakosea jina la marehemu na kumtaja aliye madarakani na kuzua tafrani
 
Tatizo barua zimekua nyingi mnoo kila wakitaka kujamba basi lazima wachapishe Tangazo ,acheni wakosee tu
 
Mkuu ni zaidi ya Shilingi Trillion 1,400. Sasa kama zile Trillion 425 tungepewa Noah jee hizi watu wangekuwaje?
Huku kuabfika tamko na bila kuhakiki siku moja watakosea jina la marehemu na kumtaja aliye madarakani na kuzua tafrani
Hivi kweli Kurugenzi Habari ya Ikulu inatoa numerali zisizo sahihi na Msigwa anabariki kwa kumwaga wino kwa mikono yake kweli ile sheria ya takwimu wanaitambua?
 
Nimeona press release toka kurugenzi ya mawasiliano ikulu ikipotosha kuhusu makubaliano ya malipo ya good faith toka Barrick.

Kwa kweli ni aibu kama waraka huu umetoka ofisi kuu hapa nchini. Hii inaonyesha ofisi hii haiko makini kabisa na huenda kuna mengi ya hovyo yanaendelea pale kwa kukosa weledi na umakini.

Ni aibu tupu. Tuwafanyeje hawa watu?
32dfb4d6108ed26923c6a3f61c0ba571.jpg
Hii kali na inaonekana hata msigwa hakuelewa yule mzungu alikuwa nini
 
Huenda pia Prof. Kabudi alikosea figure makubaliano ni USD 700Bil good faith, ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom