Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,makosa madogo yarekebishwe hima

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,173
25,446
Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.

Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Lawrence Mafuru' limeandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Lawrence si Florence.

Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
 
Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Laurence Mafuru' ameandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Laurence si Florence.

Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.

Lakini kwa mujibu wa cheo cha huyo ''Florence'' atakuwa ndio huyo huyo Laurence hivyo hana haja ya kusubiri correction ndipo apishe dawati hapo hazina.
 
Msigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa
 
Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.

Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Lawrence Mafuru' limeandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Lawrence si Florence.

Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
Acha kukosoa Malaika wakuu wanaozunguka dunia nzima na kujua kila kitu kuliko MTU mwingine.

Kabla ya kuwakosoa ungewapigia kwanza simu kuwaomba ushauri juu ya ulicho kifanya Kama ni sahihi.

Ukirudia tena utatumbuliwa kijana kuwa makini. Jana tuu maelezo yametolewa wewe umeshau au Kibriii
 
Hawa ndugu zangu na watani wangu wa jadi "maccm" ni kawaida yao kuchanganya majina ndo lingene likasema "Zimbabwe" likiimanisha Zanzibar; lingine tena likaja kivingine hili nalo limeibuka na kumbatiza jina la kike uncle Nengo
 
Msigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa
G MSIGWA ALIPOTEULIWA ALITANGAZWA KUWA NI MSEMAJI WA RAISI NA SIYO MSEMAJI WA IKULU KWA HIYO LEO JPM ALIVYOSEMA WE GREYSON KAWAAMBIE NAMFUKUZA LAWRENCE MAFURU PALE HAZINA NIKITOKA NISIMKUTE NA MWAMBIE FROLENCE TURUKA AENDE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI BASI HAPO ALIVYOGEUKIA KAMERA LAWRENCE NA FROLENCE VIKAMCHANGANYA YEYE MSEMAJI SIO IKULU
 
Msigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa
G MSIGWA ALIPOTEULIWA ALITANGAZWA KUWA NI MSEMAJI WA RAISI NA SIYO MSEMAJI WA IKULU KWA HIYO LEO JPM ALIVYOSEMA WE GREYSON KAWAAMBIE NAMFUKUZA LAWRENCE MAFURU PALE HAZINA NIKITOKA NISIMKUTE NA MWAMBIE FROLENCE TURUKA AENDE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI BASI HAPO ALIVYOGEUKIA KAMERA LAWRENCE NA FROLENCE VIKAMCHANGANYA YEYE MSEMAJI SIO IKULU
 
Katika taarifa kwa umma (vyombo vya habari na wengineo) iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Habari Ikulu,kuna kosa dogo la uandishi wa jina.

Katika taarifa hiyo,jina la aliyekuwa Msajili wa Hazina hadi leo,'Lawrence Mafuru' limeandikwa 'Florence Mafuru'. Ni wazi kuwa Lawrence si Florence.

Taarifa za Ikulu ni taarifa nyeti. Zinapaswa kuepuka makosa yanayoweza kuepukika. Tafadhali,kaka Msigwa pokea ushauri wangu wa kupitia kwa makini taarifa kabla ya kuzitoa.
Msigwa naye jipu pia.
 
G MSIGWA ALIPOTEULIWA ALITANGAZWA KUWA NI MSEMAJI WA RAISI NA SIYO MSEMAJI WA IKULU KWA HIYO LEO JPM ALIVYOSEMA WE GREYSON KAWAAMBIE NAMFUKUZA LAWRENCE MAFURU PALE HAZINA NIKITOKA NISIMKUTE NA MWAMBIE FROLENCE TURUKA AENDE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI BASI HAPO ALIVYOGEUKIA KAMERA LAWRENCE NA FROLENCE VIKAMCHANGANYA YEYE MSEMAJI SIO IKULU
sasa kama anayemuamini analiambiya taifa habari ya uongo bado anaendelea kuwa naye haha nitacheka kweli jamaa yule hapo ikulu pana tatizo
 
Msigwa hana art of writing hayuko makini na hii inoanyesha aliyemteuwa pia hayuko makini huwezi kuitangazia nchi kuondolewa mtu ambaye sie aaliyeshikilia hicho cheo , huyo anapaswa kutumbuliwa mara moja na barua yake na sahihi yake kaisambaza kwenye vyombo vyote hiyo ndio picha harisi ya watu wa ikulu walivyochanganyikiwa
Duh!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom