Kurugenzi ya fedha ya Barick na Accasia nani mbwa?Watu wanaongea na mwenye mbwa sio mbwa!
Haha Mkuu kwani si ndo jina lake anaitwa Profesa Kala Magamba Kabudi ama nimekosea?
Mkuu Stanley, Et Profesa Kala Magamba!!!! Hahahahaaaa!!.
Wewe ni miongoni mwa ma'great thinker wachache waliobakia Tz
Hujaelewa Mkuu nadhani walimaanisha Trilioni 450 za ZimbabweYaan ukizaliwa TZ na ukatumia kichwa kufikiri unaweza kufa siku si zako. Hebu jiulize kaswali . Hivi kama hawa wez wanesema hawanauwezo wakulipa billion 660 watawezaji kutulipa trillion 450??
Jaman sijui tunaota wa tz
Ilo swali muulize huyo wanayemuita eti "Mbobezi wa Masuala ya Sheria za Kimaitaifa" profesa kala magamba kabudiBruv, unaweza kunielezea ati namna gani imefanyika mpaka ile ‘good faith’ amaount ikapatikana? Nimeuliza hili swali mpaka sasa sijapata majibu! Sasa nasikia ripoti za Osoro na Mruma hazikutumika kwenye kufikia maamuzi, sasa kwanini tulitumia pesa zote zile kuwa na hizo tume?
Yaani kutoka USD 190B hadi USD 300M, imekokotolewaje hii?
Haha nilicheka sana alivosema eti ana shida nazo .....hivi huyu jamaa kichwa chake kinachaji kweli????DU!SASA ITAKUWA JE NA RAIS ALISHA ITISHA ILETWE HARAKA AZIPANGIE KAZI?Tena ilibidi kuchanganya Ung'eng'e na Kiswahili ili kuweka msisitizo!
Hahaaa....from 400 trilion to 700bilion to zero...then ufungwe kwa lipi? My take madini yanathaminishwa na wanaonunua siyo muuzaji. Ni kitu luxury so unaweza kufungwa lock up na bei, siyo lazima wawapeleke segerea.Aahh haya tumekusikia ila msalimie Tundu Lisu, mwambie walee jamaa ambao walitaka kutufunga wameshindwa
Hatujawahi kuibia aisee! Kwani walitushikia mitutu ya bunduki kupewa maeneo ya machimbo? Kuibiwa huku maCCM yamewaruhusu yenyewe?Uzalendo kwanza!jamani kuibiwa tumeibiwa na bado tunapigwa mkwara! Ebu Acacia tupeni chenchi zetu bana acheni siasa.
Prof. Kabudi msikilizeni vizuri.. Sijui watu hawaelewi lugha hata ya kiswahili..
Prof. Kabudi kaelezea vizuri kabisa..
Watu wanaongea na mwenye mbwa sio mbwa![/QUOTE
Yale sio malipo bali ni kama msaada wa kudumisha mahusiano.... Kimsingi madai yetu yameshindwa..... Barick wanaweza lipa sawa... Ila makubaliano ya mgawo yana ukakasi kwa sie tunaofahamu mambo ya umiliki wa kampuni... Ila kwa sasa lets rerserve more comments maana siasa inabadilika badilika saana. Tungeendela na Madaiyetu yale mahakamani wangetufikisha lazima.
Kama ingekuwaivo wasingefyatuka hivo, ukionaivo jua wameambiwa na barrick walipe lasivo wapelekane mahakaman wao kwa waoMbona mnaendeshwa kwa mihemuko lakin watanzania
Barrick na Serikali ndio wamekubaliana kulipa hzo USD 300M
Accacia hakuwepo kwenye mazungumzo toka siku ya kwanza so in principle hawez kukubali kulipa kitu mbacho hakuhusishwa nacho
As long as Barrick ndio mwenye Majority Shares yeye ndio atajua wapi pa kupata hzo pesa since yeye ndio aliingia hayo makubaliano.
Utafikir ni mchezo wa mpiraHabari njema kwa Upinzani na habari mbaya kwa Serikali na CCM.
Ahahaha,
Naona sherehe ya Pro-Magufulis imedumu in less than a day.
Asante for another episode.
Hiv ishu nyeti kama hiiinakuwaje wakurupuke kuitangaza adharan wakt wakijuamakubalianobado !!? kwan kulikuwepo na shinikizo la kutangaza ?Haina shida we deal na mwenye mbwa, halafu uone wakati wa kung'ata ni nani anaeng'ata kati ya mbwa au bosi wake. Kila tunapoingilia tunapigwa chenga. Tulilalamika kuwa eti Accasia hawaja sajiliwa nchini kwa hiyo ni wezi, tutawachukulia hatua. Tukazungukwa bwana wakaja Barrick fasta tukawaita wanaume.... Hapo ndio tulipopigwa chenga. Tumeongea na 'wanaume' kumbe mlipaji katulia kimya. Sasa anasema hana hela... Uuwi (chenga kila sehemu) yale makinikia yangekuwa yanaliwa bora tu tungeyagawana kama wale samaki potelea mbali.