Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
huna ujanja,la haraka kaongee na afsa utumishi akuandalie data sheet yako haraka ili uwahi na mahahara wako uanze kuflow mapema!! other wise hakuna shortcut make hiyo kitu ipo ki system!! may be wakati unariport ajira mpya ungebadilisha initial yako ya majina ya katikati usumbufu huu usingetokea!!
Na vp kuhusu vyet ukibadili jina?hazina huwa tunatumia majina matatu! mfano
KIFUBA J KYAITAHWA so ukipata ajira mpya unabadili inakua
KIFUBA Z KYAITAHWA hao tayari wanakua watu wawili tofauti
Na vp kuhusu vyet ukibadili jina?
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.
Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.
Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.
wewe una issue km yangu
Ya kwako ikoje?
refer to kifuba kya
nlimweka sawa afisa utumishi akanirudishakwa hiyo hujafanikiwa.
nlimweka sawa afisa utumishi akanirudisha