CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
mm ndo maisha ninayoishi...kuachana na kurudiana...inautam wake...tena mm ndo huwa nachokoza!!
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.
Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.
Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......
una bahati sana kuweza kucheza huo mchezo......
.Nina ushuhuda wa mtu aliyeolewa na baada ya mambo kwenda kombo akamrudia aliyembwaga kabla ya kuolewa.......wakati yungali katika ndoa.......so sad
Mimi huwa siachi naachwa tu na hii nimeona inafaida sana coz inapotokea kurudiana huwa si kazi ngumu coz ni upande mmja tu ndo ulitoa maamuz negative by that time
Jini mahaba hilo
Mtu akiniacha kwa namna yoyote then nikaumia alafu nikapona,wala asijisumbue kuja kuomba kurudiana huwa ckubali hata km nilimpenda vp,na mie nikifikia maamuzi ya kuachana na mtu,hata iweje crudian naye!labda km ni kugombana kwa kawaida tukachuniana kidogo mmojawapo akagundua aliharibu hayo yanaongeleka na maisha yanaendelea!lkn tukiachana na mie nikakubali hapo ndio imetoka ivo!
Katika zama hizi za HIV/AIDS hakuna kitu cha hatari kama baby come back ,maana chances are excitement itawafanya mparamiane bila kinga wala kwenda angaza.Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.
Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.
Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......
Mwambie binti Mtambuzi kuwa kusameheana katika maisha ni muhimu.ooh sis, husamehi?