Elections 2010 Kurudia uchaguzi ni gharama kuliko kuamua sahihi sasa!

GRJ152003

Member
Sep 5, 2010
13
0
Maoni mnayo ninyi, mi nisiwasemee!
 
Attachments

  • 45779_110881635634618_110866455636136_86519_4082158_n.jpg
    45779_110881635634618_110866455636136_86519_4082158_n.jpg
    78.1 KB · Views: 73
Jamani kama nilivyojitambulisha mimi nimgeni hapa nilipata tabu kidogo kuweka attachment ila naona nimefanikiwa ebu wasaidie na wengine kwa maoni yako maana pesa za kurudia uchaguzi bora watoto wasome bure hadi butimba na kigurunyembe wapewe mkopo
 
Karibu Jamvini!
Lakini ukisoma katiba ya jamhuri wa muungano wa tanzania, uchaguzi hauwezi kurudiwa kama la kutokea likitokea (Mungu epusha) kwani katiba inasema ikitokea Rais ni mgonjwa na hawezi kuendelea na shughuri zake kama kawaida au akiwa amefariki basi Makamu wa rais (ambaye ni mgombea mwenza wakati huu wa kampeini) atakuwa rais na anamteua mtu mwingine atakayethibitishwa na bunge kuwa makamu wake mpaka kipindi cha miaka 5 kipite. Kwa maana iyo ikitokea mgombeakwa mfano wa CCM mh. JK akashinda na mwezi wa kwanza kwasababu yoyote iliyotajwa na kipengere hicho cha katiba akashindwa kuendelea kuwa Rais, basi Mh. Bilali atakuwa Raisna atampendekeza mtu kutka Tanzania Bara sema makamba au Tambwe hiza kuwa makamu wake,aendelea na hiy ngoma mpaka 2015
 
Back
Top Bottom