Kurudia uchaguzi ni gharama kuliko kuamua sahihi sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kurudia uchaguzi ni gharama kuliko kuamua sahihi sasa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by GRJ152003, Sep 5, 2010.

 1. G

  GRJ152003 Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maoni mnayo ninyi, mi nisiwasemee!
   

  Attached Files:

 2. G

  GRJ152003 Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kama nilivyojitambulisha mimi nimgeni hapa nilipata tabu kidogo kuweka attachment ila naona nimefanikiwa ebu wasaidie na wengine kwa maoni yako maana pesa za kurudia uchaguzi bora watoto wasome bure hadi butimba na kigurunyembe wapewe mkopo
   
 3. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Karibu Jamvini!
  Lakini ukisoma katiba ya jamhuri wa muungano wa tanzania, uchaguzi hauwezi kurudiwa kama la kutokea likitokea (Mungu epusha) kwani katiba inasema ikitokea Rais ni mgonjwa na hawezi kuendelea na shughuri zake kama kawaida au akiwa amefariki basi Makamu wa rais (ambaye ni mgombea mwenza wakati huu wa kampeini) atakuwa rais na anamteua mtu mwingine atakayethibitishwa na bunge kuwa makamu wake mpaka kipindi cha miaka 5 kipite. Kwa maana iyo ikitokea mgombeakwa mfano wa CCM mh. JK akashinda na mwezi wa kwanza kwasababu yoyote iliyotajwa na kipengere hicho cha katiba akashindwa kuendelea kuwa Rais, basi Mh. Bilali atakuwa Raisna atampendekeza mtu kutka Tanzania Bara sema makamba au Tambwe hiza kuwa makamu wake,aendelea na hiy ngoma mpaka 2015
   
Loading...