Kurudia maombi ya chuo

Kurudia maombi ya chuo

fredy mgendi

Member
Joined
Aug 20, 2019
Posts
9
Reaction score
1
Msaada tafadhali mwanzo niliomba vyuo first round sikubahatika kuchaguliwa nataka kurudia tena second round swali lang nitarudia kulipia tena kwa vyuo ambavyo niliomba mwanzo?
 
Kama unaomba vyuo vile vile vya mwanzo hulipi ata kumi
 
Back
Top Bottom