AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Nakuombea tu huyo Mama asifungue mlango,ukomee [emoji3] [emoji3]Kama wewe ulikua unaona raha kwanini unambania dogo?
Huo ni wivu tu. Kama umri wako umeenda baki home msubiri dogo umfungulie mlango.
Mimi hapa nipo baa nalewa naenda kumgongea maza simu afungue mlango.
Uko kwa maza alafu bado unalewa?Kama wewe ulikua unaona raha kwanini unambania dogo?
Huo ni wivu tu. Kama umri wako umeenda baki home msubiri dogo umfungulie mlango.
Mimi hapa nipo baa nalewa naenda kumgongea maza simu afungue mlango.
MIMI UTALALA HAPO NJE...SIFUNGUI...Kama wewe ulikua unaona raha kwanini unambania dogo?
Huo ni wivu tu. Kama umri wako umeenda baki home msubiri dogo umfungulie mlango.
Mimi hapa nipo baa nalewa naenda kumgongea maza simu afungue mlango.
Yaani inaboa sanaaa...Nakuombea tu huyo Mama asifungue mlango,ukomee [emoji3] [emoji3]
For sure mtu kurudi usiku inaboa ,unakua unahisi huyu mtu ananichukulia poa hivii
akili za balimi hizo...sio zake...Uko kwa maza alafu bado unalewa?
"Kwahiyo"Hivi unavyotumia neno "koo" una maana gani?
Koo poa basi"Kwahiyo"
LolKoo poa basi
inategemea na malezi.mila na desturi.kama kwa wachaga watu wanalewa na wazazi wao.wakula pombe bia pamojaUko kwa maza alafu bado unalewa?
Hahaha hamna bana inategemea na familia na familia.. Wengine kurudi ana funguo zake hasumbui mtuNakuombea tu huyo Mama asifungue mlango,ukomee [emoji3] [emoji3]
For sure mtu kurudi usiku inaboa ,unakua unahisi huyu mtu ananichukulia poa hivii
Sipo kwa maza nipo nyumbani mkuu.Uko kwa maza alafu bado unalewa?