CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,463
Ila shida yao ni kama kuku wengine hybrid hawaatamii mayayi but they produce egg twice local so unahitaji incubator to multiply your stock
Ila shida yao ni kama kuku wengine hybrid hawaatamii mayayi but they produce egg twice local so unahitaji incubator to multiply your stock
Ya hawaatamii, ingawa mim minao baashi huwa wanaatamia sijajua why, hawa kuku wana resisit magonjwa nana mazingira that is why mseven aliwapenda
Samahani mkuu ndani yakipindihicho walikuwa wanakula chakula maalum au kwakujitafutia?..
Asante, Je unawauza kiasi gani
Week old Tsh 3500/ Day Old 2800/ ukitaka unaweza tunziwa hadi mwezi mzima kwa bei tofauti lakini
Nilikiwa na Kuku wa kienyeji 60 wameingiliwa na ugonjwa nimejulishwa baada ya siku Tatu wakati ugonjwa umesambaa wote wakafa sasa nataka kuanza na hao pia kwa bei ya vifaranga wa mwezi ni kiasi gani? Pia nijuze kuhusu kenbro Je naweza wachanganya wakaishi pamoja I mean 50/50 sina utaalaam hivyo naomba unisaidie
Mkuu Chacha naomba unijulishe ni kwa vipi kwa mtu aliye mwanza anaweza wapata????
Dah Pole sana Mkuu kuku 60 si mchezo, ni kuku wengi sana, ilikuwa ni ugonjwa gani? Yes unaweza wachanganya wakiwa wadogo ila wakainza kutaga inabidi kila breed ikae kivyake, wasichanganywe
Kuku kujitafutia Chakula inatakiwa uwe na eneo la kutosha ambalo wanaweza zunguka na si tu la kutosha hakikisha kuna wadudu wa kula, Kama una eneo dogo sana na umeweka fensi inakuwa ni kuwaresa sana na ni lazima uwapatie chakula cha ziada.
Hao Kuku kisumu bei poa
Asante sana bro, kawaida Kuku wangu wapo sehemu ambayo ina mashine za unga na wana banda kubwa tu ila sikuwepo na waangalizi hawakuweza kuwaangalia vilivyo kwa chakula, naliwakuta baadhi wakiwa nje ya eneo langu kwenye taka nafikiri hicho ndio chanzo cha maradhi. Itabidi niwe napata ushauri kwenu mara kwa mara kwani ni hasara kubwa