Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,894
- 25,908
❤️Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika ,ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao
Msiwape watu presha kisa ndoa
Tusioe uwongo?Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.
Msiwape watu presha kisa ndoa
Oa weweTusioe uwongo?
Dah unanimix Sasa.. 🤣🤣Oa wewe
Oa yakikushinda basi sio kila mtu yatamshindaDah unanimix Sasa.. 🤣🤣
Mwanamke lazima aringe Ila kwa kiasi sababu too much is harmfulKURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja, wanahug, wanakiss, wanacheza pamoja but responsibly coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.
1. Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa, ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa nyumbani’ Hapa binti anaanza kuwaona wavulana km viumbe hatari sn.
2. Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo anaringa balaa.
3. Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’ hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe anataka.
4. Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu 'Wewe vipi wenzio wote wameolewa, unasubiri nini’ hapa ndo kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss. Umenimisd my foot?
5. Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema 'Tumeshakuonya acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti anapanick, anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.
6. Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’ binti anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati wakati aliringa mwenyewe.
7. Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha makanisa lakini hafanikiwi.
8. Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo, unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni sawa tu.. usichague sana.. tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’k'
NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI KWA MAISHA YAKO
Tatizo ndoa ni takwa la asili ndo maana linasumbua wengi, wengi wanapenda ndoa kimoyomoyo wanaitaman Sana ni kwa sababu hawajapata watu sahiiNdoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.
Msiwape watu presha kisa ndoa
Tatizo ndoa ni takwa la asili ndo maana linasumbua wengi, wengi wanaoponda ndoa kimoyomoyo wanaitaman Sana ni kwa sababu hawajapata watu sahii
Kwenye mahusiano unayempenda hakutaki na anayekupenda humtaki Kam mwanamke inabid ukubaliane na yule anayekupenda kwenye maisha sio kila uamuz tunaofanya ulikua first choiceNi kweli lakin Ndio uolewe tu kisa jamii kuwaonyesha au wazazi kutaka wakati unaetaka akuoe hataki
Ndio ilivyo sasa wadada inapelekea anaona umri unaenda inabidi aolewe na yeyote tu 😂😂Kwenye mahusiano unayempenda hakutaki na anayekupenda humtaki Kam mwanamke inabid ukubaliane na yule anayekupenda kwenye maisha sio kila uamuz tunaofanya ulikua first choice
Hili linaukweli kabisaSio kweli kwenye kuolewa mabinti kuna mambo mengi lazima mabinti nao wasikilizie maana wanaishia kuliwa kimasihara na hawaolewi,
Na jambo lingine ni kuwa yule ambaye hana mpango wa kuoa akimwendea binti hakatai analiwa tu,
Yule mwenye penzi la kweli mpaka kuoa akienda anasumbuliwa mpaka wakati mwingine anaacha kumfatilia binti anakataa tamaa,
Na wakati mwingine kuna koo huwa zefungwa na nguvu fulani mabinti wao hawaolewi.
Na waweza kuta kuna binti ni wa kawaida sana hana mvuto wa sura wala umbo lakini anatafutwa na wachumba wengi sana.