Huyu bwe.ge anatoa ushauri wa kipumbavu sana,
hivi wakati huo mkutano unaendelea LEMA alikua mbunge au alikua wapi??
Ok fine kama utasema kutangaza utalii hakuhitaji kua mbunge,wewe kama mtanzania mzungu umeitangaza vipi??
Unajua majukumu ya LEMA ya kila siku au wewe ni dalali wa kinana muuza meno ya tembo??haya huyo riziwani lini umeshasikia yupo ulaya anautangaza utalii??
Toka umeondoka hapa bongo ni lini umeshasikia yule pouches mkuu anatangaza utalii nje ya nchi??
Acha ubweg.e wewe,sisiemu ndio wanao haribu hii nchi na ndio chanzo cha umasikni wa watanzania,
kiongozi gani wa chadema umeshasikia ameuza mbuga,au ardhi yenye rutuba kwa wachina??
Mikataba yote mibovu ni kiongozi gani wa chadema amesha wahi kusaini??
CHADEMA kuwaamsha wananchi mnaona kua ni jambo baya kwenu sio?na bado hata hile gesi ya mtwara haitoenda dar kama mnavyotaka.BWEGEE MTOZOZENI mleta mada,LEMA is our truly political leady kwa taarifa yako.