Kura zinaendaga wapi?

Kura zinaendaga wapi?

Ila kama kweli umati wote huo ukijiandikisha kupiga kura, kisha wote wakajitokeza siku ya kupiga kura no doubt CCM itakua chali, sababu nikuwa waliopamba umati huo ni vijana na kama ndio hao vijana wamekichoka chama unafikiri kitatokea nini????
 
ruge na wachumba zake wa clouds fm wakiona hivyo sijui wanajisikiaje,vipi kilaza kibonde na uropokaji wake hapo vipi???sugu moto chini
 
hapa ndio hua unaona kua wizi wa kura ni kitu dhahiri na sio myth
 
Back
Top Bottom