Kura za mitandaoni: Njia ya maandamano kama mbinu ya kuleta mabadiliko chanya nchini yaongoza

Nguvu ya umma haijawahi shindwa. Tatizo letu sisi Watanzania ni waoga na wanafiki sana. Lakini ipo siku tutaelewa na kuacha unafiki ndipo tutapata ujasiri... MUNGU inusuru Tanzania.
 
Hakuna MTU ana shaka kwamba kwenye mitandao lazima muse juu! Hata wakati wa UKUTA mtandaoni mlikuwa vizuri. Hata wakati wa kampeni Kinondoni mtandaoni mlikuwa vizuri. Jiulizeni, UKUTA iliishia wapi! Mwalimu aliishia wapi!

Tarehe 27/04/2018 tutakumbushana!
 
Hakuna MTU ana shaka kwamba kwenye mitandao lazima muse juu! Hata wakati wa UKUTA mtandaoni mlikuwa vizuri. Hata wakati wa kampeni Kinondoni mtandaoni mlikuwa vizuri. Jiulizeni, UKUTA iliishia wapi! Mwalimu aliishia wapi!

Tarehe 27/04/2018 tutakumbushana!

Mkuu kama box la kura lilitolewa kwenye chumba cha kura na kurudishwa unategemea wapinzani wangeshinda. Hiyo ndio hali iliyopelekea ushindi wa ccm.
 
Tayari awamu ya 5 imeshaleta mabadiliko tuliyoyahitaji fullstop!

Mmepiga propaganda wenyewe kisha mmeiamini na sasa mnalazimisha wengine wote waiamini kwamba kuna mabadiliko. Mabadiliko yaliyoko mpaka sasa tunayoaona ni chuki za wazi dhidi ya wapinzani. Hayo sio mabadaliko yalikuwa yanatakiwa. Mabadiliko ya kweli ilikuwa ni watu kupata ajira, biashara za watu kushamiri na sio kudondoka kama ilivyo sasa. Kilimo kupata msukumo mkubwa ikiwa kupata bajeti kubwa ili kukwamua wananchi walio wengi. Mambo haya hayafajafanyiwa mabadiliko tuliyoyataka, achia kero nyingine tulizozoea kama kukatika kwa umeme na shida ya maji.
 
Back
Top Bottom