Kura za Magufuli

mwe! ama kweli wiki hii watu wamekesha, muwe mnakesha hivi katika maombi pia
 
Kura zake zinajilinda sababu wana kazi ya ndani na wakimaliza wana kazi ya nje. . . .Wanaona na wanajua. . . .UKAWA wanasubiri just this one moment . . . .
 
Yaachech yamalizane yenyewe huko! Yanakera sana haya majitu yaan hakuna kitu kinaweza kwenda straight kwao!
 
Huu mchakato ndio umedhihirisha ccm huwa wanafanya nini katika uchaguzi mkuu.
 
Kwa utendaji wa Speaker wa kwanza mwanamke, Anna Makinda, CCM watafanya makosa makubwa kulazimisha kupitisha jina la mwanamke.

Utendaji wa hovyo wa speaker utawamaliza. Ukizingatia alivyoboronga zaidi mwishoni!
 
Magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
👽From: Source in the Kitchen.

Officially John Pombe Magufuli is a presidential candidate for CCM.
 
magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
👽from: Source in the kitchen.

Officially john pombe magufuli is a presidential candidate for ccm.

Where did you get these information? Shame on you Xidian . Jf Moderators kuweni makini na hawa watu wanaotoa taarifa kama hizi za uongo na zisizokuwa na ukweli hata chembe , huu ni upotoshaji. Please !!!!!!! komesheni hii tabia.
 
Wewe endelea kulishughulia hilo beef lako bovu mengine tuachie wenye nchi
 
Wewe endelea kulishughulia hilo beef lako bovu mengine tuachie wenye nchi

Kheeee! Kumbe we bweeege upo dunia hii?

Naona tunye tunye lako linafanya kazi murua kabisa ya kukufuga.
 
Kwahiyo walotaka kuchakachua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…