Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Watanzania wenzangu habari zenu za asubuhi
!!!
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hatma ya uchaguzi huu wa October 25 2015 nimeamua kuja kuwasihi wananchi wenzangu tutambue kuwa kura zetu si za majaribio !!
Tusikae kujidabganya eti ngoja nimjaribu huyu uenda kajirekebisha ilo kosa kubwa kwenda kumjaribia kiongozi ambae atakaa miaka 5 akikuumiza tu !!
Watanzania tulishaambiwa njia hii inasimba !!! Nasi twajua njia hiyo inasimba, je utafanya majaribio ya kupita eti ukijiongopea uweza simba kalala uenda asinione?
Naomba tutafakhari kwa mapana watanzania juu ya hatma ya taifa na simba ni simba tu hawezi geuka mbuzi, tusipige kura kwa majaribio, tutafalhari kwa mapana yake tuangalie nyuma then angalia mbele alafu uchukue maamuzi sahihi !!!
EWE MTANZANIA, TUMIA HAKI YAKO OCTOBER 25 KUMPATA KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI TAKE CARE