Kura Yangu Nilimpa Rais Magufuli, Lakini Kwa Sasa Naijutia

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Binafsi wakati wa kampeni nilivutiwa sana na sera ya Rais Magufuli ya kuipunguza serekali yake kwa nia ya kubana matumizi.

Na nia yake hiyo njema kwa taifa masikini Kama Tanzania ndio ilinishawishi nikiri nikampa kura yangu ya ndio.

Ila kwa sasa nimeanza kukata tamaa kwa uteuzi aliofanya Rais wa kuteu makatibu wengi watakao turudisha pale pale tulipokuwa tunalia lia kuwa serekali ni kubwa mno na isiyokuwa na mashiko.Inayoumiza wananchi wake.

Nikiri wazi nimeanza kuijutia KURA yangu na next time CCM sitowaamini tena na siwaamini tena hata sasa hivi.
 
Binafsi wakati wa kampeni nilivutiwa sana na sera ya Rais Magufuli ya kuipunguza serekali yake kwa nia ya kubana matumizi.
Na nia yake hiyo njema kwa taifa masikini Kama Tanzania ndio ilinishawishi nikiri nikampa kura yangu ya ndio.
Ila kwa sasa nimeanza kukata tamaa kwa uteuzi aliofanya Rais wa kuteu makatibu wengi watakao turudisha pale pale tulipokuwa tunalia lia kuwa serekali ni kubwa mno na isiyokuwa na mashiko.Inayoumiza wananchi wake.Ni kiri wazi nimeanza kuijutia KURA yangu na next time Ccm sitowaamini tena na siwaamini tena hata sasa hivi.
Pole sana mkuu
 
C c m ni ile ile na haitatokea kutenda ya kuwapendeza wanyonge
Niliambiwa na ukawa nitaisoma namba.Nikawa mbishi,Leo naisoma kweli,Next time nitakuwa msikivu sana.Nitakuwa nachambua na kutafakari kwa kina kabla ya kufikia maamuzi ya ku vote.
 
Niliambiwa na ukawa nitaisoma namba.Nikawa mbishi,Leo naisoma kweli,Next time nitakuwa msikivu sana.Nitakuwa nachambua na kutafakari kwa kina kabla ya kufikia maamuzi ya ku vote.
Kweli kabisa mkuu husirudie tena kufuata nyimbo mzuri
 
Mabitoziii wa bonde la jagwani walikuwa wana jiita home migomigo,mabishooo wa bonde la mkwajuni walikuwa wana jiita watoto wa kinooo sasa hiviiiii mmmmmmhhhhhhh
 
Wengi wataisoma namba. Na tena hii ndo ilikuwa risasi ya mwisho ya CCM. Hakuna mwingine tena. Walikuwa hawampendi lakini waliamua kumpitisha ili aokoe chama. Mpaka sasa hivi amechemka sijui baada ya miaka mitano watafanya nini?
 
Back
Top Bottom