Kura yangu kwa Grace Tendega wa CHADEMA kalenga kesho,wewe je?

Joshua alisema kuwa yeye na Familia yake watamtumikia MUNGU Kisha akawaambia Chaagueni hivi Leo mtakayemtumikia! Msiichague MIUNGU walioichagua babu zenu wakaangamia!!!!!Ichagueni CCM mteketeeee
 
Ningefurahi sana kama haya mawazo wangekuwa nayo wana Kalenga wote. Tunataka mabadiliko na wa kuyaleta ni sisi wenyewe!
 
mkuu uhuru odinga tusaidiane kurusha humu jamvini kila kitakacho kuwa kinajiri hapa kalenga tangu tarehe 15 mpaka matokeo yatakapo tangazwa kwani WATZ jicho lao ni JF

Pouwa ndugu yangu kuanzia leo taarifa zote mtazipata kona ya kalenga,nitapita pita kitalani kukusanya taarifa muhimu
 
Yeyote atayepingia kura ccm, hiyo laana itamtafuna maana mwingereza atarudi kwao, na mtabaki kuuza ulanzi na kufa na baridi ya iringa, plse tuondoe wahuni na uongozi wa kifalme kama ndugu zetu wameru walivyo fanya 2012,grace tendega my mp 2014-2020
 
Grace Tendega ni lulu ya thaman,yule mtalii ni nazi tena koroma,Chagua Grace chagua Chadema kwa maendeleo achaneni na watalii wanaooa wazungu!!
 
Back
Top Bottom