Huu ni utani (masihara) wenye lengo la kuonya na kufundisha.Asante mleta mada.Wadau nimejikuta nashikwa na hasira nikiwa machinjioni baada ya kumuona mgombea wa chama flani (itakua mnamjua) nkajikuta namtoboa toboa kwa hasira na pen mpka karatasi likatoboka...msifanye makosa kama yangu. .
kweli umechafukwaWadau nimejikuta nashikwa na hasira nikiwa machinjioni baada ya kumuona mgombea wa chama flani (itakua mnamjua) nkajikuta namtoboa toboa kwa hasira na pen mpka karatasi likatoboka...msifanye makosa kama yangu. .
Hii nchi ngumu sana
Daaah yalitaka kunikuta kama yako. Nikaweka kwa Lowasa, kucheki kwa juu nikaona ligombea hili la chama fulan linaniangali si ndo nikataka kulitoboa macho! yaan ilibak kidogo tu, nashukuru mungu alinisimamia
Wadau nimejikuta nashikwa na hasira nikiwa machinjioni baada ya kumuona mgombea wa chama flani (itakua mnamjua) nkajikuta namtoboa toboa kwa hasira na pen mpka karatasi likatoboka...msifanye makosa kama yangu. .
Hahahaaaa! Kweli umechafukwa!