kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

Eti wachaga? Nadhani haumaanishi unachosema. Je wachaga walio CCM nao ni CDM. Acheni upuuzi huu wa kimantiki utakaoligharimu taifa. Baada ya wachaga mtasema wahaya, wapimbwe nk. Kama tatizo ni Mbowe awe mbowe na sio wachaga kwa sababu mbowe ni mchaga bana. I hate these sweeping conclusions.
 
Mbowe zaidi na haongeki
ana pesa zake za halali.
 
Ndio hatuwezi kufika! Vyama vinaendeshwa kwa mitazamo ya dini za watu tutafika vipi,unadhani waTanzania hawaelewi sarakasi za CDM,MMEMWAGA MBOGA NA WENZENU WANAMWAGA UGALI.

Tatizo lako nafikiri ni uelewa wa mambo ya misingi na yenye mantiki. Enzi za propaganda zimepitwa na wakati rafiki. Hizi propaganda zako hazipunguzi ugumu wa maisha ya watz walio wengi vijijini/mijini hata kidogo. Siku zote kote duniani, propaganda mwisho wa siku hushindwa.
 
Zitooooooooooooooo Kabwe!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inaruhusiwa kupiga kura kwa kutumia IDs tofauti?
 
Huwezi linganisha Zitto na Mbowe.Zitto yuko juuu saaaaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…