uzaifu wa kwanza wa zitto ni kuwa yuko bungeni lakini kapitisha sheria ya kuwanyonya wafanyakazi mafaotuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya zitto zuberi kabwe ama wilbroad peter slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na kwa nini? Toa sababu kuu nne tu.
Katibu Mkuu Chagga
Mwenyekiti. Chagga hatudanyiki
Fisadi Zitto
Ni kweli kabisa mkuu ni dharau kubwa sana hapa kihalali labda level ya ZZK ni MBOWE na sio SILAA hawa ZZK na MBOWE ndio walioifikisha CHADEMA hapo ilipo sasa na si huyo BABU BACHELA
Hapo ktk red are you sure wat you talking? Dr Slaa na Zitto nani mwenye jazba nyingi? rejea mwaka 2010 wakati Zitto alivyokiuka maamuzi halali ya chama chake kususia hotoba ya raisi JK bungeni, yeye akuingia bungeni tena kana kwamba haitoshi kesho yake akafanya press conference hakaweka wazi kupingana kupingana na maamuzi ya chama chake.Munge akuzidishie Akili, Afya na Mali, AS TANZANIAN WHO LOVES HIS MOTHERLAND, I VOTE FOR '' UWEZO, UADILIFU NA UZALENDO. NA SIFA ZOTE HIZO ANAZO MDOGO WANGU ZITO, AT the same time i have respect for the Dr Slaa, lakini kakayangu Dr ana jazba nyingi na he carries lots of revengeful grudge, he is not a presidential material, he wil make a very good Minister any where.
Wadau nitafanyaje niwaone waliopiga kura? nataka niwajue pro-vatican
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Wadau nitafanyaje niwaone waliopiga kura? nataka niwajue pro-vatican