Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Nasikia ni swaiba sana na Rostam,Lowasa na Kikwete na kuna tetesi kuwa Kikwete ni Mkwewe, ngoja wajuzi waje.
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm
hivi hummer na vogue kanunuaje?
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
utoto ni kitu kibaya.
Kwanini mnapandikiza udini kwenye siasa?
Tunafahamu hujuma zako,muda muafaka ukifika tutampata mgombea aliye chaguo la wengi kwa mujibu wa chama chetu.subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm
Naona mauwaji ya Igunga,Arumeru na Iramba pamoja na kujiandikia SMS ili zionekane zimetoka Chadema hiyo laana imeanza kukutokea puani
Mkuu Kariakoo yote imejaa used kila mahali anzia pale kwenye round about au viwanja vya Sabasaba
Mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii
tuacheni dharau kwa rais wetu[/QUOTE
Mzee mpaka hapo tuko wote 100%
Aliye tangaza kuwa zanzibar ni nchi ya kiislam ni cdm? unafiki unawamalizaMalizia
5,Hana sifa kwa sababu hatoki kaskazini,
6,Hana sifa kwa sababu hatoki kwenye dini yetu,hahahha hata mfanye nini udini unawatesa sana nyinyi na huo ukanda'