Kura ya maoni ya urais kati ya mama Samia na Humphrey Polepole

Kura ya maoni ya urais kati ya mama Samia na Humphrey Polepole

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,832
Reaction score
25,138
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mama Samia, kura yako ya urais ungempa nani?

Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
 
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura yako hapo chini, ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema:
Halafu ili iweje yaani mwisho wa siku? Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha ya bundle.
 
Kwanza hapo hamna wakupigaa kura
 
Halafu ili iweje yaani mwisho wa siku? Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha ya bundle.
Marais wote waliowahi kuongoza nchi hii walituongoza ili iweje mkuu?
 
Kwanza hapo hamna wakupigaa kura
Chukulia sasa hao ndio wagombea pekee wa urais waliopitishwa na tume ya uchaguzi. Je, kura yako utaitupia kwa nani mkuu?
 
nchi hii mtu yeyote anaweza kua Raisi, no need of competition
 
Daah! Mm nimepiga. Mpk sasa H. Polepole ana 90% wakati Samia ana 10%. Huyu mama hapendwi mpk na mumewe.

Screenshot_20250811-224208.png
 
Polepole ndiyo awe raisi?Hata kama ni mfano lakini bado kuna ukakasi,labda awe rahisi.
 
Back
Top Bottom