Kura ya maoni kuhusu Muungano-ITV

Kura ya maoni kuhusu Muungano-ITV

Hii ni taswira ya kura ya maoni inayoendelea katika ukurasa wa Kiswahili wa tovuti wa IPP. Ni dhahiri kwamba kura hii ni kielelezo cha jinsi wananchi kwa ujumla watakavyo piga kura kuamua muundo wa muungano. Wale wanaojifanya wabishi na kujidai hii nchi ni yao waone kabla ya kujaribu kulazimisha mambo.

View attachment 146793


huku,uswaya,nyanguge,mtunduru,kamangame na mwazizi,wananchi wanataka madawa,umeme,uhakika Wa bei ya pamba,madawati,na madawa ya mifugo,acheni uhuni Wa serilali tatu jakuna tija kwa umma
 
Kura hii ya maoni kule Kipatimu, Loliondo, Nyakanyazi,Nkasi,Ihung'wa wanaijua au mnajifurahisha tu?
kwa kifupi hao hata wakipiga kura ni sawa na kumuuliza tiba ya meningitis darasa la saba au no class,unategemea nini? kitendo cha kuwa na wasio jua kusoma na kuandika na darasa la saba wengi kinaathiri mambo mengi sana katika NCHI YETU.
 
Tayari nimetimiza wajibu wangu wa kuipigania Tanganyika, kwa atakaenda kwenye link achague kiswahili ndo utakuta hiyo kura ya maoni
 
Haina tija kung'ang'ania muungano. Tunataka serikali yenye kuwaendeleza wananchi wake na yenye malengo na dira. Full stop.
 
mimi nimepiga kura mara nne nashanga asilimia sinajiongeza tuu ujinga mtupu
 
Sasa ukishaingia kwny hyo ipp twende wapi hasa, habari za michezo au hebu toeni maelezo vzur
 
Asante mkuu nimesha timiza wajibu wangu.

Pia kuanzia sasa ili kuonyesha hisia zangu kwa Tanganyika kila mwisho wa post yoyote nitakayo post hapa nitafunga kwa maneno.
BACK TANGANYIKA
tafadhari kama unaniunga mkono nawe fanya hivyo kila mwanzo au mwisho wa post yako.

Sisi watanganyika ni watu wa ajabu sana, hivi kweli tunanyanyapaa nchi yetu ya asili halafu tunajiona tuko sawa. Tafakari.
 
huku,uswaya,nyanguge,mtunduru,kamangame na mwazizi,wananchi wanataka madawa,umeme,uhakika Wa bei ya pamba,madawati,na madawa ya mifugo,acheni uhuni Wa serilali tatu jakuna tija kwa umma

kuna vitu,hufahamu wewe, hela za hayo mahitaji zinalipia umeme wa Zazibari! na michango ya uendeshaji serikali nk!
 
Back
Top Bottom