Naona leo uko zamu..............ndo malipo ya Shule yako, aliyokupeleka mzazi wako,....hujui kama alikuwa mfuta viatu vya hao waliokupa kazi. Siku ukiujua ukweli utalia sana.
ccm mwisho wenu kesho kutwa. Hata mkiiba hampati kitu
We magufuri ulinunua kivuko feki
Ulituingizia hasara baada ya kukamata meli kwa sababu ya kukurupuka
Barabara zote ulizo simamia hazina viwango mfano Kimara - Posta/ Kariakoo, au Mlandizi Calinze
Uliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. Mfano kiwanja peke yake kilichoko masaki ni milioni 150 hapo kabla ya kuweka thamani ya nyumba, lakini uliviuza kwa bei ya karanga na vingine ukawanunulia wake zako walioko nje ya ndoa.
So kura yangu, Mke wangu, House girl, Kijana wangu wa shamba, na wadogo zangu wanne hawakupi kura ng'o
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.