Kura ya dkt mihogo ni moja tu,haina impact yoyote kwa taifa letu
Dr slaa amekuwa siku zote anapinga dhuluma , wizi na ufisadi aekuwa akiamini kingozi mzuri hastahli kuwa na kasha za wizi na kuwa nakundi kubwa la watu wanao mpigania ili awe kiongozi.
Wakati anaongea na star tv alionyesha kuwa magufuli ndiye anae faa kuwa rais kwa sababu hana makando kando ya wizi na ufisadi
Dr slaa kwa uadilifu huo anao uamini na kwa sasa mgombea mwenye sifa za uadilifu na aliye msafi ni Dr magufuli na kura ya Dr slaa itadondoka kwa Magufuli.
Kura ya dkt mihogo ni moja tu,haina impact yoyote kwa taifa letu
Mkuu kwani karudi?
Kura ya dkt mihogo ni moja tu,haina impact yoyote kwa taifa letu
Magufuli atapigiwa na Mowe pia. Mzee Mtei naye amejipanga kumpigia kura Dr. Magufuli.Dr slaa amekuwa siku zote anapinga dhuluma , wizi na ufisadi aekuwa akiamini kingozi mzuri hastahli kuwa na kasha za wizi na kuwa nakundi kubwa la watu wanao mpigania ili awe kiongozi.
Wakati anaongea na star tv alionyesha kuwa magufuli ndiye anae faa kuwa rais kwa sababu hana makando kando ya wizi na ufisadi
Dr slaa kwa uadilifu huo anao uamini na kwa sasa mgombea mwenye sifa za uadilifu na aliye msafi ni Dr magufuli na kura ya Dr slaa itadondoka kwa Magufuli.
We unaejielewa mbona umeandika utumboHujielewi ww, dr slaa anafuatwa na wafuasi wangapi?
Pole sana
Yupo na kura yake kama kawaida ni kwa muadilifu
Hayo maneno yanadhirhirisha huna umakini: "Kura ya dkt mihogo ni moja" Mohongo anatoka wapi hapa? maana hata heading haimtaji Muhongo. Inaonekana Muhongo anawatoa mapovu na mimacho yenu sana nyie. Kwisha kazi yenu.